Una beti upate hela ama kufurahisha nafsi.. Kama unataka upate hela niige mimi mshindi wa Perfect 12

Usitudanganye

Moja mshindi hapewi kiasi chote alichoshinda maana kuna kodi ndani yake hivyo kutuaminisha kuwa uneshinda milioni 109 na kuzipata zote hiyo ni moja wapo ya uongo....

Kule kwenye jukwaa letu ulisema kuwa malipo yanafanyika kwa benki 3 yaani Exim, Crdb na Dcb.
Ukasema tena kuwa umeshafungua acc exim jana

Leo unasema kuwa umepewa checque iliyoandikwa 109mil

Leo unatuambia kuwa unaenda chukua hela...

Kwa nijuavyo checque ikishazidi 1mil kama wewe sio mmliki wa account au signatory basi hiyo hela hutapewa zaidi utaambiwa udeposit checque


Hadi hapo nahitimisha kuwa wewe si mahindi wa zile hela

Wewe ni muongo



Bet What You can Afford to Lose
Bet Responsibly
 

Acha kuleta udini kwenye biashara za watu. Fanya kile moyo wako unakutuma ilimradi usivunje sheria za nchi.
 
Dogo kule jukwaani ulikuwa unalilia hela yako ukanunue USB, hivi mtu alieshinda 100M anaweza kulalamika hajalipwa na muhind pesa ambayo mahesabu yake ni kununu USB cable?
 
kila mtu na ugonjwa wake eti kubet huoo upuuzi siwezi ufanya
Kwa kuwa hujiwezi ndio upuuzi?

Mimi MkekaBet ndio wanaonilipia petrol. Kwa shilingi 15,000 napata hadi 230,000 kutegemeana na wikiendi ina timu gani. Hivi sasa ligi nyingi zimefikia ukingoni, naona sasa safari zangu zitaanza kuwa limited.
 
Una matatizo kichwani
 
*****...
Nimetoka kuwekewa mzigo wangu wa milioni 102. Kodi nimekatwa milioni 7.23.
Hapa ninatoa hizo milioni 2+ natumia kama mtaji wa kubeti.
Kesho naenda kuchek Toyota Allex pale Kinondoni B.
 
*****...
Nimetoka kuwekewa mzigo wangu wa milioni 102. Kodi nimekatwa milioni 7.23.
Hapa ninatoa hizo milioni 2+ natumia kama mtaji wa kubeti.
Kesho naenda kuchek Toyota Allex pale Kinondoni B.
nifundishe nama manake nilibeba mzgo mara moja tu
 
Kwa kuwa hujiwezi ndio upuuzi?

Mimi MkekaBet ndio wanaonilipia petrol. Kwa shilingi 15,000 napata hadi 230,000 kutegemeana na wikiendi ina timu gani. Hivi sasa ligi nyingi zimefikia ukingoni, naona sasa safari zangu zitaanza kuwa limited.
Guyz hayo mambo nifundisheni nalizwa daily
 
Hilo nalo ni neno kweli umenifunza kaka
 
Usiganganye watu. Say no to betting
Adanganye asidanganye poa tu, yeye kaelezea starehe yake, hata wewe unazo, betting ni starehe na kufaidika, kwako sio starehe, labda utataka uzikwe na mali zako kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo, kaja duniani kapata mali na fedha zake, wacha azitumie atakavyo bila kuvunja sheria, wewe usiependa kaa pembeni fanya upendalo bila kuvunja sheria.
Usiingilie starehe za watu mkuu.
 
Mtu kwenye perfect 12 umeweka buku halafu unaleta dharau...
Bwana mdogo acha ufala, 109 M sio hela within seconds inakwisha yote.
Kama akili zenyewe ndio hizi hapa.
 
hakuna mtaalamu wa kubet acha kurubuni watu. uaweza ukaweka mechi moja na bado ukapigwa
 
Mtu kwenye perfect 12 umeweka buku halafu unaleta dharau...
Acha ufala, milioni 109 sio hela .

Wapi nimeonesha dharau bro...
Ama unanionea wivu tu na bingo langu.
Hili ni zali tu mzee. Nimeliwa sana buku buku zangu usione hivi.
Kaa na wivu yako tuone utaishia wapi sasa.
 
Kuna mtu wa karibu sana ananishawishi huu mchezo. I think I will give it a shot, japo sina A wala B, nitasoma hadi nielewe..Dah!!
Mkuu yaani upo kama mm, mm huwa sielewi kabisa naona tu vijana wamejaa wanafanya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…