Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Topic kama hizi mbona huwa zinaishia njiani?
Mtoa mada ubarikiwe
Mtoa mada ubarikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna topic hapa tulisha-discuss sana haya. Tatizo ni kuwa maduka mengi Tanzania watu wanaigana makosa wakidhani ndiyo duka linalotakiwa kuwa hivyo. Kuna jambo jingine: Wakati wa kutoa huduma unakuta wauzaji hawampi attention mnunuzi. Unakuta muuzaji anapiga story na rafiki yake pembeni au kwenye simu huku anahudumia. Hii ni sumu mbaya sana. Unapomhudumia mteja inatakiwa unamwangalia machoni, unakuwa na tabasamu na attention yote unaelekeza kwake. Kwa wale waliobahatika kusafiri nje ya nchi nadhani wameshangaa sana kuona wahudumu wa eg maduka walivyo charming na kuipenda kazi yao. Hata Kenya wamepiga hatua kuliko sisi mara kumi. Tanzania bado wenye maduka wana ile kasumba ya kujiona mwenye duka ndiyo anayetakiwa kunyenyekewa. Na bado kuna mambo mengine madogo madogo mengi sana ambayo unaweza kuongezea kwenye hii thread. Vitu kama wauza maduka kutongoza wanawake wanaokwenda pale (hasa ma-house girls), kukosa chenji wateja wanaponunua bidhaa au kukataa kupokea noti ya 10,000 kama unanunua kitu cha bei ndogo, eti hakuna chenji, Muuzaji kumsakizia bidhaa mbovu mteja bila kujua, nkAmen boss
Ilibidi kweli tuengage more and more tujifunze na kujifunza
Daah boss umetisha sana mkuu wangu nimetake note as followsKuna topic hapa tulisha-discuss sana haya. Tatizo ni kuwa maduka mengi Tanzania watu wanaigana makosa wakidhani ndiyo duka linalotakiwa kuwa hivyo. Kuna jambo jingine: Wakati wa kutoa huduma unakuta wauzaji hawampi attention mnunuzi. Unakuta muuzaji anapiga story na rafiki yake pembeni au kwenye simu huku anahudumia. Hii ni sumu mbaya sana. Unapomhudumia mteja inatakiwa unamwangalia machoni, unakuwa na tabasamu na attention yote unaelekeza kwake. Kwa wale waliobahatika kusafiri nje ya nchi nadhani wameshangaa sana kuona wahudumu wa eg maduka walivyo charming na kuipenda kazi yao. Hata Kenya wamepiga hatua kuliko sisi mara kumi. Tanzania bado wenye maduka wana ile kasumba ya kujiona mwenye duka ndiyo anayetakiwa kunyenyekewa. Na bado kuna mambo mengine madogo madogo mengi sana ambayo unaweza kuongezea kwenye hii thread. Vitu kama wauza maduka kutongoza wanawake wanaokwenda pale (hasa ma-house girls), kukosa chenji wateja wanaponunua bidhaa au kukataa kupokea noti ya 10,000 kama unanunua kitu cha bei ndogo, eti hakuna chenji, Muuzaji kumsakizia bidhaa mbovu mteja bila kujua, nk
Ni kweli. Na wale wasiotaka kutongozwa wataona ni kero hivyo kuacha kwenda pale dukani. Nilikuwa na house girl kila tukimtuma anakwenda duka la mbali alilokuwa anauza mwanadada mmoja. Kuja kuchunguza nikagundua lile duka la karibu alikuwa anasumbuliwa na yule muuzaji na yeye ni mtu wa dini, hataki.Daah boss umetisha sana mkuu wangu nimetake note as follows
1.Customer care
2.kutongoza kweny biashara hii ni mbaya sana unatengeneza loopholes za wazi sana endapo huyo mteja akikubali kua kimahusiano nawe basi jua mahitaji yake yanayomletaga kwako utayagharamikia wwe muuzaji bdhaa itatoka ka sandakalawe na endapo akikukataa basi jua fika kabisa umemfukuza moja kwa moja hatorudi tena kwako.