O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 4,031 Reaction score 6,156 Jul 24, 2026 #1 We nunua gari acha mkweche. Unaanzaje kunua gari milioni 3 bora uchukue boda au guta ufanye biashara Matusi ruksa😀
We nunua gari acha mkweche. Unaanzaje kunua gari milioni 3 bora uchukue boda au guta ufanye biashara Matusi ruksa😀
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Jul 24, 2026 #2 OgaBoy said: We nunua gari axha mkweche. Unaanzzaje kunua gari milioni 3 bora uchukue boda au guta ufanye biashara Matusi ruksa😀 Click to expand... Sawa, Mawazo Yako na yaheshimiwe!
OgaBoy said: We nunua gari axha mkweche. Unaanzzaje kunua gari milioni 3 bora uchukue boda au guta ufanye biashara Matusi ruksa😀 Click to expand... Sawa, Mawazo Yako na yaheshimiwe!
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 4,031 Reaction score 6,156 Jul 24, 2026 Thread starter #3 Kimwakaleli said: Sawa, Mawazo Yako na yaheshimiwe! Click to expand... Unapaki gari alafu unaenda stand kwa safari ya masaa machache eti unakomboa mafutap😀
Kimwakaleli said: Sawa, Mawazo Yako na yaheshimiwe! Click to expand... Unapaki gari alafu unaenda stand kwa safari ya masaa machache eti unakomboa mafutap😀
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Jul 24, 2026 #4 OgaBoy said: Unapaki gari alafu unaenda stand kwa safari ya masaa machache eti unakomboa mafutap😀 Click to expand... Ee ndio Akili zinamtuma mwenye gari
OgaBoy said: Unapaki gari alafu unaenda stand kwa safari ya masaa machache eti unakomboa mafutap😀 Click to expand... Ee ndio Akili zinamtuma mwenye gari