Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Pole mkuuWAzazi wengine ni shida, wewe unawaza kuwapambania kumbe wao wana mikataba ya kichawi, vita zinainuka juu yako na wao wanakaa kimya.
Umekielewa ulichokiandika lakini mkuu?WAzazi wengine ni shida, wewe unawaza kuwapambania kumbe wao wana mikataba ya kichawi, vita zinainuka juu yako na wao wanakaa kimya.
Heshima broMimi wazazi wangu nikipaumbeule sana. Niliwahi kuwa na rafiki yangu asiyekuwa na wazazi baada ya wazazi wangu kumpokea vizuri kama mtoto hadi kesho huw anawatumia hela ananimbia sana mimi kama ningekuwa na wazazi wangu asee ningewatunza sana P. Maneno hayo hunifanya nami niongezee juhudi zaidi
Mpumbavu huna akili matako yako hujielewi sikujibu tena kwaheliWazazi kupambana kote, wakakufanikisha kupata geto kali tu!
Uchawi haukuuwi ila unatesa, siyo kwamba wachawi hawataki uishi ila wanataka uteseke usiweze kujikomboa.Umekielewa ulichokiandika lakini mkuu?
Yaani mazazi wako akupambanie hadi ufike hapo halafu uje useme ni wachawi wakupige vita? Yaani kwa akili ya kawaida tu kama wangekuwa na nia hiyo si wangemalizana na wewe mapema tu wala wasingesumbuka kufika hadi ulipo.
Kama ni wachawi wanachawia wengine wewe inakuhusu nini mkuu?
Watunze wazazi usitafute visingizio
Lakini si kwa mzazi. Ukiona hivyo wewe ndo unashida kubwaUchawi haukuuwi ila unatesa, siyo kwamba wachawi hawataki uishi ila wanataka uteseke usiweze kujikomboa.
Mpumbavu huna akiliFikia hatue eleweni watu wanaofika miaka 60 haijalishi watumishi serikalini au sekta binafsi(wakulima na ainayake)
hili kundi sio lakutunzwa na watoto wao ni jukumu laserikali Yao
Kwasasa Lea wanao unaowazaa
Upo wapiNi ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki.
Wanalala chini
Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa
Hakuna fan Wala asset nzuri za maana.
Kuwaweka wazazi wako kwenye mazingira mazuri haiitaji uwe na maisha mazuri au KAZI nzuri ni taratibu sana.
Kumbuka fahari ya mwanaume ni kupambana wazazi then mke na watoto
Nitukaneni TU hakuna shida
Nipo DarUpo wapi
Leo hutanielewaMpumbavu huna akili
Narudia tena mpumbavu wewe akili hunqLeo hutanielewa
wewe ndo huna akili kabisa mana hujaelewa nilichosema badalayake unatukanaNarudia tena mpumbavu wewe akili hunq
Mpumbavu tuwewe ndo huna akili kabisa mana hujaelewa nilichosema badalayake unatukana