Maadam tupo zaidi ya billion 8 ni sawa pia kuwa na idadi ya vifokama hivyo maan pia wanaozaliwa ni wengi zaidiTakribani watu 7,000 wanapoteza maisha yao kila saa, duniani. Takwimu hizi zinashtua, ila zinapaswa kutufanya tufikirie kwa kina kuhusu maisha yetu yajayo.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na Idara ya Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa (UN DESA). Sababu za vifo ni nyingi.
Lakini swali kuu ni hili: Je, wewe ukifa leo, utaenda wapi?
Kifo hakigongi hodi. Kinaweza kuja bila taarifa, asubuhi au jioni, ukiwa barabarani au umelala.
Biblia inatuambia:
"Watu wamewekewa kufa mara moja, na baada ya hapo hukumu." (Ebr 9:27)
Fanya haraka, "ukate tiketi" ya kuingia mbinguni na kuikwepa hukumu ya moto wa milele. Tubu dhambi zako zote, umpokee Yesu Kristo moyoni mwako kwa imani, awe Bwana na Mwokozi wako. Yesu ndiye njia pekee ya kutufikisha mbinguni(Yn 14:6).
mpaka sasa wamekufa watu 92.5 billion so kusingekuwa na vifo tungekuwa watu 100.8BMaadam tupo zaidi ya billion 8 ni sawa pia kuwa na idadi ya vifokama hivyo maan pia wanaozaliwa ni wengi zaidi
Ndugu yangu, Shing YuiTunaishi mara moja tu.... Maisha yajayo hayatuhusu bali yatawahusu watakaokuwepo
Ikiwa siamini katika vitabu vya dini hatma yangu itakua ipi?Ndugu yangu, Shing Yui
kusema kuwa maisha yajayo hayatuhusu ni kupuuza ukweli ulio wazi katika Neno la Mungu. Biblia inatufundisha kwamba kuna maisha baada ya kifo: adhabu ya milele motoni au uzima wa milele mbinguni.
Wapi tutaishi baada ya kifo, inategemea uamuzi wetu wa kumkubali au kumkataa Yesu Kristo sasa.
Kama huamini katika vitabu vya dini, haimaanishi kwamba ukweli wa maisha ya baadaye hautakuathiri. Ukweli unabaki kuwa ukweli, hata kama mtu haamini. Mungu yupo, na Neno lake ndilo linalotufunulia hatima ya maisha yetu baada ya kifo. Hatima ya mtu ni katika maeneo mawili tu: anayeamini anaingia mbinguni. Asiyeamini anatupwa motoni milele.Ikiwa siamini katika vitabu vya dini hatma yangu itakua ipi?
Unamaanisha mababu na mabibi zangu waliofariki kabla hatujaletewa dini wataenda kuchomwa motoni kwa kutoamini kitu ambacho hawakukijua?Kama huamini katika vitabu vya dini, haimaanishi kwamba ukweli wa maisha ya baadaye hautakuathiri. Ukweli unabaki kuwa ukweli, hata kama mtu haamini. Mungu yupo, na Neno lake ndilo linalotufunulia hatima ya maisha yetu baada ya kifo. Hatima ya mtu ni katika maeneo mawili tu: anayeamini anaingia mbinguni. Asiyeamini anatupwa motoni milele.
Mungu anakupenda na hataki upotee. Ndio sababu umesikia habari hizi. Amini.
na dunia isingeweza kusupport idadi hiyo ya watu in terma of chakula , maji safi na miundombinumpaka sasa wamekufa watu 92.5 billion so kusingekuwa na vifo tungekuwa watu 100.8B
Andiko hili linawahusu mababu na mabibi waliofariki kabla ya kusikia Injili:Unamaanisha mababu na mabibi zangu waliofariki kabla hatujaletewa dini wataenda kuchomwa motoni kwa kutoamini kitu ambacho hawakukijua?
Maisha baada ya kifo yapo kwa wanaoamini,,kama kuna wa2 hawaamini ipo siku yao!!Ndugu yangu, Shing Yui
kusema kuwa maisha yajayo hayatuhusu ni kupuuza ukweli ulio wazi katika Neno la Mungu. Biblia inatufundisha kwamba kuna maisha baada ya kifo: adhabu ya milele motoni au uzima wa milele mbinguni.
Wapi tutaishi baada ya kifo, inategemea uamuzi wetu wa kumkubali au kumkataa Yesu Kristo sasa.
Walioandika biblia na quran ni matapeli tuNdugu yangu, Shing Yui