Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Wewe umeenda op kabisaAcha kusimamisha mkuyenge aka mtaimbo
Ndugu hiyo ni Mimi kabisa na huwezi amini hata mke Wangu anaamini Nina hela wakati anajua hata Kazi sina.Ivi umewahi kukutokea?? Una hali ngumu mno...... afu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli n kwamba unapumulia oxygen.
Umaridadi huficha umasikiniIvi umewahi kukutokea?? Una hali ngumu mno...... afu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli n kwamba unapumulia oxygen.
Nimepewa nukitumie sasa au unanionea wivuAvatar yako inasadifu
Kauli ya kizamani sana. Pata shida ya inayohitaji pesa na huna pesa uone kama huo umaridadi utakusaidia.Umaridadi huficha umasikini
Hiyo ni dalili nzuri kuwa watu waliokuzunguka wanakutazama kama kiongozi, msaada, tumaini lao, mkombozi.Hivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.
Andika vizuri sentence yako. Unajua matumizi ya neno KAMWEukijiona unaonekana una hela wakati huna kitu choka mbaya basi ujue kuwa kamwe kwenye maisha yako utakufa MASIKINI
nahisi kwenye neno utakufa ndo abadilishe aweke HutakufaAndika vizuri sentence yako. Unajua matumizi ya neno KAMWE