Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Yaani ishanitokea... mpaka mmojawapo siku moja akaniambia.. SIKUJUA KAMA HUWA UNAKOPA HELAHivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.
😂😂 Kama unalewa na kuopoa totoz lazima aamini hivyoNdugu hiyo ni Mimi kabisa na huwezi amini hata mke Wangu anaamini Nina hela wakati anajua hata Kazi sina.
Nilewe wapi, basi tuu mwanamke akishazoea kupewa vijisent hata kama huna anaamini unazo😂😂 Kama unalewa na kuopoa totoz lazima aamini hivyo
Na hii hua inatokea sn kwa watu ambao hawapendi kuweka wazi matatizo yao au kayaanika matatizo yao. Basi mtu anaona unazoo kumbe we mwenyewe unaugulia tu moyoniMie juzi tu kuna mtu nilikwazana naye kisa hivyo yaani ye hataki kabisa kuamini kwamba sina.
Nilibakia kumshangaa tu na kuwaza inamana mtu akiwa hana kitu mpaka afanyeje ndo mtu ajue huna, mana aliishia kulaumu as if ninacho nimemnyima kumbe hali yangu naijua mwenyewe.
NdioHivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.
Naomba buku tano Vale[emoji23]Ni kawaida hiyo hasa kutokana na umaridadi wako unavojiweka
Waswahili walisema umaridadi huficha umaskini
Mtu akikuona unang'aa ukakosa hata buku ya kumpa inakua ngumu kuamini kua huna
[emoji23][emoji23][emoji23]sinaNaomba buku tano Vale[emoji23]
Kwa jinsi ninavyokuona huwezi kukosa buku tano bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sina
[emoji23][emoji23]Sasa ndo sina hivoKwa jinsi ninavyokuona huwezi kukosa buku tano bwana[emoji23][emoji23]
Daah! Acha tu, nashindwa hata kuelezaHivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.