Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako

Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako
Una hatari ya kupoteza wateja wako.png

Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako.

Watu wengi wanafanya biashara nzuri, wana wateja, wana followers wa kutosha, lakini hawajasajili jina la biashara yao.

Unaweza usione shida leo, lakini upo kwenye hatari ya kupoteza wateja wako👇👇👇


Jina la biashara (Brand name) ni utambulisho wako.

Kama hujalisajili, huna ulinzi wowote wa kisheria.

Yaani mtu mwingine anaweza kulisajili kabla yako, akakufungulia kesi au akatumia jina hilo kuuza product kama yako

na huna la kufanya 😢

Kuna watu wengi wamepoteza majina ya brand zao walivyoanza kufahamika mtandaoni.

Sababu?

👉 Walichelewa kusajili
👉 Mwingine akalisajili
👉 Akalitumia kwenye kazi zake, akawa ndiye anayetambulika rasmi.

Wewe ukaonekana “feki” kwenye jina lako mwenyewe.

Ukiwa na jina lililosajiliwa, unaongeza imani kwa wateja.

Watu wanapenda kufanya biashara na kampuni zinazotambulika kisheria.

Hii inawapa uhakika kuwa:

✅ Biashara yako ni halali
✅ Ni mtu anayejulikana
✅ Wakipata changamoto iwe rahisi kukupata

Biashara zilizotambulika hupata:

📌 Wateja wakubwa
📌 Fursa za tenda
📌 Uwezo wa kufungua akaunti ya jina la biashara yako
📌Kuaminika kwa urahisi mitandaoni
📌Ktumia lipa namba zenye majina ya biashara zao

Na yote haya huongeza mauzo yako na kukua brand.

Sasa hivi, kusajili jina la biashara ni rahisi sio ngumu kama zamani.

Unahitaji kuwa na namba ya NIDA tu utapata

✅ Kusajili jina
✅ Kupata cheti halali
✅ Kulinda jina lako na kuanza kuwa mjasiriamali anayeheshimika

Na kama hujui pa kuanzia!
Hapo ndipo tunapokuja kama Victoria Agency.

Tunafanya mchakato mzima wa:
🔹 Kuchagua jina
🔹 Kulihakiki
🔹 Kulisajili
🔹 Kukupatiamwongozo na ushauri wa biashara baada ya usajili
🔹 KUkusaidia kusajili account za lipa namba zenye jina la biashara

Usingoje hadi siku utumiwe barua ya kuacha kutumia jina lako ulilokuza kwa miaka.

👉 Sajili jina lako leo.
👉 Linda biashara yako kesho.
👉 Jenga brand name yenye nguvu, inayotambulika na kuaminiwa.

🚨 Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako.

Unahitaji msaada wa kusajili jina la biashara?

Tupo tayari kukusaidia kwa hatua zote.

📞 Piga: 0693 880 325

📲 WhatsApp moja kwa moja: wa.me/+255693880325

📍 Victoria Agency - Mkolani, Mwanza

#Biashara #Mjasiriamali #BRELA #VictoriaAgency
 
Serikali toeni ajira, vijana wanahaha huku kwa kila namna wapate chochote kitu. Mkuu mtoa mada unaweza kukumbuka manunuzi yako 5 ya mwisho uliyoyafanya, waliokuizia waliku na majina yaliyosajiliwa? Ulinunua kwa kuwa wamesajiliwa? Ndugu yangu najua wote tunatafuta mkono uwende kinywani ila wazaramo wanasema kuchamba kwingi mwisho kujitia dole. Waambie tu watu wasahili majina kwa faida kama kulinda jina, kukuza brand na kulitumia jina hilo in case watakua na kutaka kufungua kampuni, achana hizi porojo za jina kuongeza au kukimbiwa na wateja. Utaonekana zuzu tu mkuu. Wakuu sajilini majina yenu, fulsa ndio hii, ohooo
 
Back
Top Bottom