Una kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kukupa faida?

Una kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kukupa faida?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari,

Kama wewe msomaji wa uzi huu au mtu unayemfahamu ana kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kumsaidia kimaisha tafadhali tuwasiliane kwa Whatsapp namba 0676434611.

Kipaji chochote ambacho kinaweza kuendelezwa mfano ubunifu wa vifaa, uchekeshaji (comedy), vipaji vya michezo mbalimbali, sayansi, hesabu, vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali na kadhalika.

Karibuni muweze kutambulika
 
Na Kama Bado hujatambua kipaji chako je inatakiwa ufanye kitu gani ili uamini kbs una kipaji fulani
 
Na Kama Bado hujatambua kipaji chako je inatakiwa ufanye kitu gani ili uamini kbs una kipaji fulani
Nadhani nimetoa baadhi ya mifano. Labda niongeze mifano mingine ya vipaji: kutunga nyimbo, kuimba, kusimulia hadithi, kucheza(dancing), kuchora. Angalia mwenyewe Kama una kipaji chochote.
 
Back
Top Bottom