Una kipaji usichokitumia?

Mimi ninakipaji kitandani, yaani nikipata demu mkali alafu msafi, yaani napiga mshine usiku kucha
 
Napiga sana Magitaa rythm na solo...ila kutafuta hela ya kula ndo kunaniweka busy nina mpaango wa kujikusanya ninunue Effect Pedal mwaka huu...
Nachora pia tokea utoto lakini sasa muda hakunaa.
 
Mimi nina kipaji kizito sana.
naoteshwa mambo yajayo na yanatokea.

ama naweza kuhisi kitu flani kutokea baada ya muda flani kikawa kweli.

Hio hali pia anayo mama yangu.

Ila usiposema ndio kinatokea

mfano niliota naona nyumba inaungua, nikaamka usiku usiku kufuatilia nikakuta hali ni shwari.

Two days later nyumba ya jirani ikaungua kwa kulipukiwa na Gesi
 
Kuchora!
Nikiwa Primary zile kazi za sanaa nilikuwa napelekwa Ofisini nachora picha mbali mbali, picha kadhaa zilibandikwa kwenye ofisi ya walimu na zingine zilipelekwa maktaba ya shule.
Tangia niache shule, na mambo ya uchoraji yaliishia shuleni.
Mimi pia nachora japo situmii kipaji hiki kupatia mlo ila nafanya tu kujifurahisha mda mwingne.
 
Wewe na dr MENEMENE TEKERI NA PERESI ni kweli mnachokipaji cha kuchekesha, mimi nina kipaji pia cha kuwatambua wachekeshaji wa asili🤣🤣🤣
 
Shabaha...

Nakumbuka enzi hizo nipo kule Kj### Hakuna risasi iliyoenda nje ya Range.. mpk wakanibatiza jina la Eagle Eye.. (Kijicho)
 
Utangazaji ni kipaji ? Maake napenda sana sana

Nilikuwa nachora vzr kufika sehemu hata kuchora mti nashindwa....

Utangazaji naupenda sana though nina carrier nyingn Ila i wish hata siku moja nifanye presentation makini kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…