Una kipaji usichokitumia?

Una kipaji usichokitumia?

Mimi nina kipaji cha mpira nimecheza mpaka daraja la kwanza.

Nina kipaji cha kuandika Content na makala .

Nina kipaji wanaita Psychic power upande wa Aura reading -kumjua na kumuelewa mtu Kwa haraka kujua either ni negative or positive.

Na kipaji kufundisha watu.


Ila katika hivyo vipaji vyote natumia kimoja tu cha kuandika maudhui Ila for funny .
 
Mimi ni mtu AMBAE huwa naishi KAMA SIPO..

Mimi ni mpole hata ukiniangalia TU unajua huyu ni mpole/very bright na huwa siongeagi Sana kwenye kundi la watu.

1.Mpira wa miguu.. kwenye mguu wangu wa kushoto Mungu aliweka kipaji Cha ajabu. Ilikua ni kawaida watu kusimamisha shughuli ZAO kuja kunituza na kuniona nikiwa nipo uwanjani..nilitabiliwa makubwa na ndio kazi niliyo ifanya kwa urahisi Sanaa

Ugenini nilikuaga nanyimwa namba kwa muonekano wangu soft soft Ila ilipo tokea nikapewa nafasi watu walistaajabu Sana na kuanza kuniangalia kwa JICHO la tofauti mpira unge Jenga nyumba ungenipa gari, ungenipa mtaji, ungeleta plate za chakula mezani..

Enzi zile mpira haukua unalipa Kama Sasa so Mimi nili udharau mpira wa miguu Nika kumbatia ELIMU

Huwa niki ikanyaga ardhi kazi rahisi maishani mwangu ilikua mpira wa miguu nilitabiriwa makubwa na nilifanya mengi Sana yaliyo waacha watu kustaajabu kipaji na uwezo wapekee na waajabu
 
Ungeweka ujuzi ingeleta mantiki zaidi na siyo kipaji. Kwa sababu kipaji ni out of training lakini ujuzi unakusanya mambo yote ya kujifunza na ya kipaji

Anyways sina kipaji chochote lakini nadhani nina ujuzi kwenye nyanja mbili ambazo sifanyii kazi. Sitaweza kusema yote hapa lakini naumiaga rohoni mpaka leo kwanini ilishindikana mimi kuenda jeshini?

Ni wengi tu wana ujuzi au ufundi lakini hawaufanyii kazi kisa tu hawana mitaji, ajira, nk. Imagine wahitimu wa vyuo anaomba kazi au ajira anaambiwa kigezo ni awe na uzoefu. Huko kwenye kupata uzoefu kwenyewe akienda wanataka wamtumikishe bure sasa ataishi vipi na ni kijana anayejitegemea kimaisha basi mtu anaona siyo kesi anabadili gia anajishughulisha na mambo mengine ya kumpa kipato
 
Kipaji chang nilikuja kukigundua baada ya kudisco chuo,,,nilikua nahangaika na elimu kumbe nna uwezo wa kupika kuku na chips na bites zote unazozijua wewe pasipo kusomeshwa na mtu yyte ,,yani nilikuja kugundua baada ya kuwafunika wauza chips wote wenye mitaji mikubwa na wazoef maana si kwa uummat wa watu niliowakusanya kwenye kijiosk chang
 
Mimi hata kuona nilikuwa sioni dah 🥺

Hongera sana ulikuwa vizuri kwenye medani
Nilikuwa napiga mpk kamanda mmoja hiv alitak kumtuma jamaa mmoja hiv asimame ajitwishe chupa ya maji kichwani nilenge.. 😂
 
Back
Top Bottom