sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Feb 28, 2018 #1 Msanii mwenye kipaji cha kipekee ambaye amegeuka kuwa homa ya jiji Mbosso aka mbosokhan mshedede anakaribisha maoni yako kuhusu muziki wake. Hii ni baada ya kutoa ngoma mbili official na mbili unofficial bampa to bampa Watakubali Alele Nimekuzoea Shida
Msanii mwenye kipaji cha kipekee ambaye amegeuka kuwa homa ya jiji Mbosso aka mbosokhan mshedede anakaribisha maoni yako kuhusu muziki wake. Hii ni baada ya kutoa ngoma mbili official na mbili unofficial bampa to bampa Watakubali Alele Nimekuzoea Shida
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,361 Reaction score 21,680 Mar 1, 2018 #2 mwambie akaze buti kabla hajapotea..... Izo kaz zake bado hazijawateka mashabiki kisawa sawa
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Mar 1, 2018 #3 Mi namshauri amchumbie Zari asafishe nyota
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Mar 1, 2018 #4 Kama but kijana
A ager de don JF-Expert Member Joined Oct 6, 2017 Posts 621 Reaction score 320 Mar 1, 2018 #5 Kijana bado pasua kichwa andika mashahiri ya kiwango hakuna namna industry ya mziki kwa sasa ni ngumu sana hapa bongo
Kijana bado pasua kichwa andika mashahiri ya kiwango hakuna namna industry ya mziki kwa sasa ni ngumu sana hapa bongo
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Mar 1, 2018 #6 watakubali
Mchoraji Cyper255 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,780 Reaction score 6,133 Mar 1, 2018 #7 Mwambie aimbe zile style na mirindimo ya Yamoto Band. Kama anavyofanya Asley. Hakika atavuma sana