Una kipi cha kumshauri mwanaWcb Mbosso?

Una kipi cha kumshauri mwanaWcb Mbosso?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
fa0418fd051b429998a5a4a1f04dfd49.jpg


Msanii mwenye kipaji cha kipekee ambaye amegeuka kuwa homa ya jiji Mbosso aka mbosokhan mshedede anakaribisha maoni yako kuhusu muziki wake.

Hii ni baada ya kutoa ngoma mbili official na mbili unofficial bampa to bampa

Watakubali
Alele
Nimekuzoea
Shida
 
mwambie akaze buti kabla hajapotea..... Izo kaz zake bado hazijawateka mashabiki kisawa sawa
 
Mi namshauri amchumbie Zari asafishe nyota
 
Kijana bado pasua kichwa andika mashahiri ya kiwango hakuna namna industry ya mziki kwa sasa ni ngumu sana hapa bongo
 
Mwambie aimbe zile style na mirindimo ya Yamoto Band. Kama anavyofanya Asley.
Hakika atavuma sana
 
Back
Top Bottom