Una kitu cha pekee ndani yako

Una kitu cha pekee ndani yako

j'cob mushi

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
21
Reaction score
13
Ulizaliwa ukiwa na kitu cha kufanya hapa duniani. Kitu hicho kilikua na bado kipo ndani yako mpaka sasa.
Kilichokufanya wewe ukashindwa kukitambua na kwenda kufanya vitu vingine ni mifumo uliyoikuta hapa duniani. Mifumo hii ikakupeleka wewe kwenye kitu ambacho hukuzaliwa kuja kukifanya.

Hakuna wa kukufukuza au kukushusha cheo kwenye kile ulichozaliwa kuja kukifanya. Fanya maamuzi ya kugundua sababu ya wewe kuja duniani.
Nafasi ni yako sasa kugundua Kwanini Ulizaliwa.

Kabla hujatafuta mtu wa kuoa/kuolewa hakikisha kwanza umejua kusudi la wewe kuwepo duniani. Hakikisha umekua na maono.

*Karibu sana kwenye semina itakayofanyika kwa njia ya mtandao yaani barua pepe pamoja na WhatsApp group mwanzoni kabisa mwa Mwaka 2017. Ada ni Tsh 5000 (elfu tano tu)*

Utajifunza mengi sana, Kujitambua, Kipaji, Maono, Malengo, Ujasiriamali.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni nani

Kwanini niko hapa (duniani)

Nini kitafuata baada ya maisha haya

NI MUHIMU SANA KUTENGA MUDA KWA AJILI YA KUTAFUTA MAJIBU YA MASWALI HAYO
 
Kuna kitabu nilikisoma kinaelezaa siku mbili muhimu za mtu hapa duniani. kinasema siku muhimu ya kwanza ya mtu ni siku ya kuzaliwa kwake na siku ya pili muhimu ya mtu ni kujua sababu ya kuzaliwa kwake. Nibora tuanze kutafuta sababu ya kuzaliwa kwe2 bila ya kujali mwisho we2 utakuaje.
 
Kuna kitabu nilikisoma kinaelezaa siku mbili muhimu za mtu hapa duniani. kinasema siku muhimu ya kwanza ya mtu ni siku ya kuzaliwa kwake na siku ya pili muhimu ya mtu ni kujua sababu ya kuzaliwa kwake. Nibora tuanze kutafuta sababu ya kuzaliwa kwe2 bila ya kujali mwisho we2 utakuaje.
Kinaitwaje?.....hilo la 7bu ya kuzaliwa ngumu kumesa!
 
Magu kabana hadi watu wanataka kupigana vibuti [emoji13] [emoji13] [emoji2]
 
Kitu cha Kwanza na Muhimu Kukijua wewe Kama Mwanaume.

Share na wenzako wajifunze.
 
Last edited by a moderator:
HIZI NDIO TAARIFA ZINAZOPOFUA MACHO YAKO YA NDANI.

SHARE NA WENZAKO WAJIFUNZE PIA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom