Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza harakašŸ™

Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza harakašŸ™

Wakuu i hope mko poa wote.

Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price unayotaka kuuza then nakutafutia mteja haraka.

Na sio lazima nikufahamu au ufahamike, hapana, privacy yako ni muhimu na iko salama.

We piga picha kitu chako, njoo dm, tuma picha za kitu chako, niambie bei unayotaka kuuza tukubaliane, then nipatie mawasiliano yako (number nayoweza kupata kirahisi), then mengine niachie mimi, mteja akipenda nakucontact ili mteja akufuate mahali unataka, aje akione na akulipe then achukue. Just simple, me kwa simu tu tunamaliza kila kitu usijari.

Hata kama uko mkoa gani, we karibu, takuuzia product yako kwa wateja wa huko huko ulipo usijari.

haya karibuni sana. Una chochote njoo dmšŸ™
Ungeweka na namba Yako ya Whatsapp mkuu
 
Back
Top Bottom