Una lipi la kumshauri bwana harusi?

Una lipi la kumshauri bwana harusi?


Bwana Harusi Amepata Chuma Hicho Na Sasa Anatema Che~Che

 
Weka ushauri wako kwa bwana harusi

View attachment 2221741
Mwanamke sii Ma**ko mwaananke ni akili upendo na uvumilivyo. Hakuna tusi baya duniani kama mtu anakutukana akili yako ipo ma**koni au unawaza kwa kutumia.Ma**ko

Ukiona mwanamke anapita mbile yako anakutingishia ma **ko akili yeke ipo ma**koni anataka kujua kuwa na wewe kama akili yako ipo ma**koni
 
Kama ni wa saudia aongeze watatu Kati ya hao,ili watumie wanne,Kama wa Vatican achague mmojawapo afanye mchepuko tu.
 
“Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.”Mithali 18:22
Kwaiyo bwana harusi jua umejipatia kitu chema na kibari, kibari ambacho kinaweza kuzuia au kuruhusu maombi yako mbele za bwana kutokana na vile utakavyo amua kumchukulia mkeo “Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.” 1 Petro 3:7.
"Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe." Waefeso 5:28
Tena "kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe"Waefeso 5:33
Bwana mdogo mpende sana mkeo
“Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.” Mithali 19:14 . Mungu hakosei. Bwana mdogo mpende sana mkeo maana hilo sio chaguo lako peke yako bali ni chaguo la yule aliye ruhusu iwe hvyo.

*Ila una mashemeji visu ebu usisahau kuniombea nõ kwa yule wa3 kutoka kushoto (hapo namning'oneza )
 
Ila tako la mwanamke sijui lina nini..!!??
 
Methali 18:22 BHN

Anayempata mke amepata bahati njema; hiyo ni fadhili kutoka kwa Mwenyezi-Mungu.

Marko 10:9 BHN

Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe.”

Methali 28:18 BHN

Aishiye kwa unyofu atasalimishwa, lakini mdanganyifu ataanguka kabisa.

Methali 6:32 BHN

Mwanamume anayezini na mke wa mtu hana akili kabisa; huyo hujiangamiza yeye mwenyewe.

2 Timotheo 2:22 BHN

Jiepushe na tamaa za ujana, fuata uadilifu, imani, upendo, amani, pamoja na watu wote ambao wanamwomba Bwana kwa moyo safi.
 
Back
Top Bottom