Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

the way uilivyolichukuli kwa ukubwa bado nina wasiwasi kujibu baadhi ya mada zako. Lakini maisha yanasonga.
Just relax.. Nadhani lililiisha lileπŸ’ͺ🏿
 
Yote tisa usisahau mambo ya chabooo! Jirani wakinyanduana hakuna dari/singibodi usiku ni raha na kero za miguno kwa kwenda mbele.
 
Weka ngoma ya vituko uswahili, kuna ike ngoma ya mtaani kwetu.. weka na intro ya utajiju ya juma nature
 
Yote tisa usisahau mambo ya chabooo! Jirani wakinyanduana hakuna dari/singibodi usiku ni raha na kero za miguno kwa kwenda mbele.
Usinikumbushe ya Kamanyola guest house!πŸ˜€ mpigq chabo maarufu kwa malipo alijikuta anampiga chabo mamaake mzazi baada ya wana kumchezea mchezo
 
πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’žπŸ’žπŸ’žβ™₯️β™₯️β™₯οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈπŸ€πŸ€πŸ’“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…