Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

Kuna binadamu hawajawahi kabisa kukanyaga uswazi yaani life lake ushuani mpaka anakufa

Halafu mbinguni anaenda tena peponi we uliyekimbizwa na life la uswazi unachovywa kwenye moto

Ila maisha 😅
Hii ni Moja ya hoja ambayo inanifanya niamini Kuna maisha ya pili baada ya haya,tofauti na hapo maandiko yanabidi yaje na maana nyingine ya pale Mungu anaposema "Aliona kila alichokiumba kipo sawa,ikawa asubuhi ikawa usiku,siku ya 6"
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…