heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Tanzania ni yetu sote.Tunaamka kesho tunabakiza usiku mmoja.
Watu sio waoga kama mnavyodhani 9D watu wapo barabarani we kama muoga baki ndani kwani hata vitani wanawake, mashoga(unfit),na vilema hubaki ndani kusubiri ushindi
Naamini hakuna waandamanaji watakaofocus na vurugu labda vikundi vitakavyotumwa
Cha kuwashauri vyombo vya usalama hii ni second chance mkishindwa kuwalinda Raia wenu hakika mtasaidiwa msilalamike
Hao mnaoita mabeberu mnasema wana waonea wivu nchi yenu hao hao watakuja kuwasaidia kulinda raia wenu mkishindwa kazi
Tukutane road
Huu uzi naona kama unachangiwa na marehemu watarajiwa.Tunaamka kesho tunabakiza usiku mmoja.
Watu sio waoga kama mnavyodhani 9D watu wapo barabarani we kama muoga baki ndani kwani hata vitani wanawake, mashoga(unfit),na vilema hubaki ndani kusubiri ushindi
Naamini hakuna waandamanaji watakaofocus na vurugu labda vikundi vitakavyotumwa
Cha kuwashauri vyombo vya usalama hii ni second chance mkishindwa kuwalinda Raia wenu hakika mtasaidiwa msilalamike
Hao mnaoita mabeberu mnasema wana waonea wivu nchi yenu hao hao watakuja kuwasaidia kulinda raia wenu mkishindwa kazi
Tukutane road
Lema atashiriki?Tunaamka kesho tunabakiza usiku mmoja.
Watu sio waoga kama mnavyodhani 9D watu wapo barabarani we kama muoga baki ndani kwani hata vitani wanawake, mashoga(unfit),na vilema hubaki ndani kusubiri ushindi
Naamini hakuna waandamanaji watakaofocus na vurugu labda vikundi vitakavyotumwa
Cha kuwashauri vyombo vya usalama hii ni second chance mkishindwa kuwalinda Raia wenu hakika mtasaidiwa msilalamike
Hao mnaoita mabeberu mnasema wana waonea wivu nchi yenu hao hao watakuja kuwasaidia kulinda raia wenu mkishindwa kazi
Tukutane road
TEC na machadema hayaamini hivyo.Tanzania ni yetu sote.
Tunaamka kesho tunabakiza usiku mmoja.