Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhonga ni kipaji sio ukwasiUna maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?
Tujuze jinsia yako ili tujue tunahonga ama.tunajibuUna maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?
Hakika mana kuna watu wana pesa na hawatoi hata buku.Kuhonga ni kipaji sio ukwasi
Niliwahi kuhonga lunch ya bossBro kuhonga ni lazima, na sio lazima pesa tu, utahonga mda wako kumsaidia Dem kitu ili baadae na wewe unufaike.....
Tofauti na hapo mbususu utaziona kwenye skrini tu....
Duh....umetake risk sana[emoji23]Niliwahi kuhonga lunch ya boss