mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Hapo hapo....uzi uishie hapa[emoji23]kuhonga ni kuwekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hapo....uzi uishie hapa[emoji23]kuhonga ni kuwekeza
Hiyo imekaaje hebu toa mfanoKuna watu wanahonga halafu na wao wanahongwa
Hiyo imekaaje hebu toa mfano
Kuhonga ni sehemu ya maisha, inasaidia kufikiria jinsi ya ku expand your means.Una maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?
Jibu basi mkuu😇🙄🙄🙄🙄🙄
Hiyo misamiati sijaelewa kwa kweli[emoji23]Wanawaita Mchicha-Mwiba
Kuhonga ni sehem ya maisha ya mwanaume. So usipohonga uanaume wako haujakamilika.utammiliki aje mwanamke kama hauhongi. Utamgombeza ama kumpangia mwanamke km haumhongiUna maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?
JIbu lipo hivi
Kuhonga ni kipaji [emoji23]Duh....umetake risk sana[emoji23]