Una maisha matamu ukiwa na mpenzi mtamu au unateseka?

Una maisha matamu ukiwa na mpenzi mtamu au unateseka?

Maisha matamu sina. Mapenzi matamu sina. Saikolojia yangu yenyewe jf imeshaivuruga kuwa bila maisha matamu no sweet love. Kifupi sina hata robo ya furaha ya maisha. Mkisikia nimekufa msiseme nimezama kwa vile mimi mvuvi wa igombe bali nimejitupa ziwani kwa vile maisha ni machungu
 
Japo ni kama nadharia tu ila underground ni kama ndio uhalisia wa maisha, once you get good and satisfying sex, life becomes nutritious, you see plan, growth, progress and success unto you.

Eyes, heart, feelings, trust, beliefs plus the power of the universe.

Maisha matamu + mapenzi matamu ndio habari ya Dunia.

Je, una maisha matamu na mapenzi matamu au unateseka ukiwa pande zipi.

Mjadala upo wazi.

Wadiz
ni mateso bila choyo yaan
 
Back
Top Bottom