Hahahhaa
Yaani huwezi amini, alinirudisha mpaka chumbani na akanifunika shuka kisha yeye akaondoka salama bila kudhurika kimwili...ila jamani baridi sana nasikia
Ila hili la groups za whatsapp ni la kutafakari sana, faida unayoipata humo ukilinganisha na muda unaotumia humo. Nahisi thamani ya muda tunaotumia kwenye hizi groups ni kubwa mno kulinganisha na tunachokipata humo.
Yaani huwezi amini, napiga kila siku ila silewi.
Nasubiri baadae nikapige ingine pale 4G ila sasa sie wapenda kulewa mpaka tumwage radhi pale hapatufai, tuliozoea kunywa K Vant za Mwananyamala....na ushuani wapi na wapi?