chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
umetisha...Inategemea unafabya mishe gani mfano mimi ni youtubers lazima niwe nayo wengi maana ndiko nakoshare kazi zangu ili jutafuta subscribers na views wengi kwaiyo mkiona link za youtube msiwe mnazipita kama hamzioni fungueni mka subscribe na kuview mi ctaongea nina magroup mangap ila ona mwenyewe hapa chini nina chat ngap harafu maadimn wa magroup wengi hawatupendi sisi watu wa youtuber kisa tunashare link kweny magroup mara kwa mara sasa mi niko kazini unataka niwe kama nyie mnaochart kutwa nzima na vidada mkivitongoza, acheni kututoa /kuturemove kweny magroup yenu tunashare link za chanel zetu za youtube View attachment 1379774