Una makundi mangapi ya WhatsApp?

Una makundi mangapi ya WhatsApp?

Nina namba zaid ya moja nilichoamua simu moja kwa ajili ya hzo groups tu nyengne haina group hata moja, tho namba na simu yenye groups most of the time imezimwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo 4.
Chuo, kanisani, discussion, kuna group tupo watatu tu mimi ndy admin.

La chuo nime mute muda si mrefu saizi maana siwaelewi.
 
Hilo si la kushangaza, inategemea dunia inaenda kwa Kasi Sana

Nina groups zaidi ya 100+
Na sim nyingine groups Kama 20 hivi
Ya upatu mawili
Ya familia matatu (upande wa baba,upande wa mama na upande wa mume wangu)
La VICOBA
La chama Cha spices
Ya wajasiliamali Kama sita hivi

Yaliyobakia yooote yamatangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I love you more Kasie Asprin

Akananaa akananaa kairekoombaaa
Akaireeee, akaire ..............
Aaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Aahahahahahhahaaaa
Acha niimbe tuu, raha iliyoje kumahabiwa na ligendari mwenyewe wa wenyewe....
 
Full Gospel Bible Fellowship?
Ninayo kama 8 hivi;
1/O'level
2/Advance
3/Kitaa
4/Masela
5/Langu binafsi nimeli-lock nalitumia kama diary
6&7/University yapo mawili - Social & one for news from CR (lipo locked) but Im NO longer a university student Ila sjajitoa.
8/La gospel [emoji851] hili group nliungwa na best yangu mlokole Ile mbaya but sjaii Ingia umo ndani kujua wanongelea nini since nimeungwa na kujitoa siezi maana jamaa ni admin atajihisi vibaya.

Naungwa mengi sana ya mpira na music Ila najitoa coz Im not a fan of football/music.View attachment 1379273

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unafabya mishe gani mfano mimi ni youtubers lazima niwe nayo wengi maana ndiko nakoshare kazi zangu ili jutafuta subscribers na views wengi kwaiyo mkiona link za youtube msiwe mnazipita kama hamzioni fungueni mka subscribe na kuview mi ctaongea nina magroup mangap ila ona mwenyewe hapa chini nina chat ngap harafu maadimn wa magroup wengi hawatupendi sisi watu wa youtuber kisa tunashare link kweny magroup mara kwa mara sasa mi niko kazini unataka niwe kama nyie mnaochart kutwa nzima na vidada mkivitongoza, acheni kututoa /kuturemove kweny magroup yenu tunashare link za chanel zetu za youtube
Screenshot_20200307-135438_WhatsAppBusiness.jpeg
 
Inategemea na level zako pamoja na umri..

Ukiwa ni muajiriwa utakua kwenye group la kazini.


Group la kanisani.

Group la form 4

Group la form 6

Group la chuo.

Group la michongo ya kazi.

Group la kabila lako.

Group la chama cha mapinduzi.

Group la ujasiriamali.

Group la wana (weekend outings)


Hesabu mangapi hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muongezee na haya....

Group la jumuia unayosali

Group la maombi ya kiroho

Group la kusoma neno la Mungu

Group la ukoo

Group la mazoezi ya weekend

Group la jirani anayeozesha mtoto--hehehe

Group la mtaa- hili linaundwa na mwenye kiti serikali za mtaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna group hadi la mtaa????....mtaani kwetu wangekua na ushikiano tungeanzisha na sisi....


Barua uza utambulisho unamstua tu Mwenyekit kwenye group...unalipia
Muongezee na haya....

Group la jumuia unayosali

Group la maombi ya kiroho

Group la kusoma neno la Mungu

Group la ukoo

Group la mazoezi ya weekend

Group la jirani anayeozesha mtoto--hehehe

Group la mtaa- hili linaundwa na mwenye kiti serikali za mtaa



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom