NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]admini ni nani mkuu,,mina mtamu??nimeona kuna uzi ametajwa
Mi nadhani yanafika 800. Na kila grupu nina kamchepuko
Mi nadhani yanafika 800. Na kila grupu nina kamchepuko
Tena siku hizi wamejigundulia eti makazini huko ni lazima kuwa na magroupInategemea na level zako pamoja na umri..
Ukiwa ni muajiriwa utakua kwenye group la kazini.
Group la kanisani.
Group la form 4
Group la form 6
Group la chuo.
Group la michongo ya kazi.
Group la kabila lako.
Group la chama cha mapinduzi.
Group la ujasiriamali.
Group la wana (weekend outings)
Hesabu mangapi hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Group mbili. Zote za Liverpool FC moja la bongo moja International. Huwa sichangii sana naweza kutuma ujumbe mmoja au mbili kwa mwezi.
Zote ziko muted [emoji347] so kujua kinachoendelea mpaka niingie mwenyewe.
I love you more Kasie AsprinLe Big Sam Orijinaleee.......
Utazikwa kishujaa sanaNina whatsapp app 4
Kila moja ina 6 group kasoro moja yenye 7
Total 25 groups
Hamna link mkuu maana ni marufuku ku share link ili kuepuka mamluki. Pia ukitaka kuingia lazima upigwe interview ili kubaini kama kweli ni mwana Liverpool.Mkuu nitumie link za hizo groups, natafuta sana link ya lfc Bongo
Sent from my iPhone using JamiiForums