Una makundi mangapi ya WhatsApp?

Una makundi mangapi ya WhatsApp?

Inategemea na level zako pamoja na umri..

Ukiwa ni muajiriwa utakua kwenye group la kazini.


Group la kanisani.

Group la form 4

Group la form 6

Group la chuo.

Group la michongo ya kazi.

Group la kabila lako.

Group la chama cha mapinduzi.

Group la ujasiriamali.

Group la wana (weekend outings)


Hesabu mangapi hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena siku hizi wamejigundulia eti makazini huko ni lazima kuwa na magroup
 
Ninayo kama 8 hivi;
1/O'level
2/Advance
3/Kitaa
4/Masela
5/Langu binafsi nimeli-lock nalitumia kama diary
6&7/University yapo mawili - Social & one for news from CR (lipo locked) but Im NO longer a university student Ila sjajitoa.
8/La gospel [emoji851] hili group nliungwa na best yangu mlokole Ile mbaya but sjaii Ingia umo ndani kujua wanongelea nini since nimeungwa na kujitoa siezi maana jamaa ni admin atajihisi vibaya.

Naungwa mengi sana ya mpira na music Ila najitoa coz Im not a fan of football/music.
Screenshot_20200306-215922.jpeg
 
Group mbili. Zote za Liverpool FC moja la bongo moja International. Huwa sichangii sana naweza kutuma ujumbe mmoja au mbili kwa mwezi.

Zote ziko muted [emoji347] so kujua kinachoendelea mpaka niingie mwenyewe.

Mkuu nitumie link za hizo groups, natafuta sana link ya lfc Bongo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Group la Liverpool
Global soccer
Mieleka
Computer engineering


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ngoja nimwambie msaidizi wangu ayahesabu then ntaleta mrejesho wa idadi
 
Mkuu nitumie link za hizo groups, natafuta sana link ya lfc Bongo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hamna link mkuu maana ni marufuku ku share link ili kuepuka mamluki. Pia ukitaka kuingia lazima upigwe interview ili kubaini kama kweli ni mwana Liverpool.
 
Back
Top Bottom