Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Wazazi na walezi mna maoni gani kuhusu kuweka midoli katika vyumba vya watoto, hasa watoto wachanga?
Kuna baadhi ya watu wana hofu kuwa si salama au si sahihi kuweka midoli kwenye chumba cha mtoto, hasa wakati wa usiku. Wengine huamini kuwa ni sehemu ya ukuaji wa mtoto na husaidia katika ubunifu na hisia zao.
Je, suala hili mnalionaje?
-Je, midoli ni salama kwa watoto wakati wakiwa kwenye usingizi?
-Kuna madhara yoyote kisaikolojia au kihisia ambayo yamewahi kushuhudia?
-Je, ni sahihi kuwa na midoli yenye maumbo fulani (mfano: sura za kuvutia sana (babie dolls?