TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Na kiboko ya zote kwa chaji L9Kinachonifanya nitumie TECNO ni utunzaji wake wa chaji, ila huwa siitumii zaidi ya miezi 8 huwa nabadilisha...Maana haikawii kupiga alarms bila kuicomand mtumiaji, au utashangaa tu ipo mfukoni inapiga mziki! Pia mtu kakupigia una slide kupokea imestack mpka uzime uwashe tena ndio inakaa sawa.
Ni hayo tu[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu inajiuliza?Tecno ni sawa na ile huduma ya kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala temeke nk. Yaani unatumia kwa sababu ya shida tu.
Simu gani mtu anakupigia halafu yenyewe inajifikiria kwanza ndio inaanza kuita!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tecno ni sawa na ile huduma ya kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala temeke nk. Yaani unatumia kwa sababu ya shida tu.
Simu gani mtu anakupigia halafu yenyewe inajifikiria kwanza ndio inaanza kuita!
Ilikuwa inakaa na moto siku ngapi?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Tecno hii hii ambayo ukiweka ukifungua meseji inaleta camera?
Ukiweka mezani unakuta ili piga na kutuma sms?
Yote kwa Yote! Nyie ni wakombozi mmefanya hata makabwela tumiriki smartphone.
Kama mtakuja kutoa simu inayokaa na chaji kama tecno L8 mniambie hata kama inauzwa milioni ntakuja kununua! Hii simu kiboko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ilianza L8,
Mimi nikiwasha data huwaga sizimi, lakini pamoja na yote hayo ilikuwa inakaa na chaji siku 4Ilikuwa inakaa na moto siku ngapi?
We jamaa umenivunja mbavu zangu[emoji2][emoji2][emoji1]Tecno ni sawa na ile huduma ya kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala temeke nk. Yaani unatumia kwa sababu ya shida tu.
Simu gani mtu anakupigia halafu yenyewe inajifikiria kwanza ndio inaanza kuita!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Tecno ni sawa na ile huduma ya kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala temeke nk. Yaani unatumia kwa sababu ya shida tu.
Simu gani mtu anakupigia halafu yenyewe inajifikiria kwanza ndio inaanza kuita!