wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,490
Tecno natumia kwasababu sina hela ya kununua simu nzuri ya maana,kiukweli tecno sio simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah basi hapo waliweza.Mimi nikiwasha data huwaga sizimi, lakini pamoja na yote hayo ilikuwa inakaa na chaji siku 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama zipo madukani kwa sasa. Na kama zipo basi huwenda zikawa ni za kuchakachua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sanaTecno ni sawa na ile huduma ya kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala temeke nk. Yaani unatumia kwa sababu ya shida tu.
Simu gani mtu anakupigia halafu yenyewe inajifikiria kwanza ndio inaanza kuita!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tecno shida yake moja ambayo nlikataa watu waliponambi but nkaja thibitisha,.Ukiiweka mfukoni bila kuzma data utajuta,itafanya mambo ya ajabu kwa sekund chache , kujipiga kwa simu,text itawatumia watu wa 3,itajiunga wifi yenyewd yan hz sm n shida ase
Tecno ni sawa na ile huduma ya kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala temeke nk. Yaani unatumia kwa sababu ya shida tu.
Simu gani mtu anakupigia halafu yenyewe inajifikiria kwanza ndio inaanza kuita!
You are so connected to failureNyie ni Tecno kweli au kuna mhuni anajaribu kucheza na akili zetu?
Kwa kwel tecno ina mambo, kuna cku nilihisi naungua na moto mfukoni, nilipochek kumbe ni tecno imejiUNLOCK yenyewe na imejiwasha toch na inanichoma
Aisee....Kwa kwel tecno ina mambo, kuna cku nilihisi naungua na moto mfukoni, nilipochek kumbe ni tecno imejiUNLOCK yenyewe na imejiwasha toch na inanichoma