Una maoni gani kuhusu wanawake wa aina hii?

Yupo sahihi
 
Hahaha mzee wa mbususu, i hope mbususu has done good to you in this life
Ah wee mbona umepotea kule kwenye knowledge za ukweli?

Ah kwa kweli mbususu has given me memorable moments that i shall take with me to the grave....acha tuu ni starehe namba moja dunia hands down.
Pisi kali muendelee tuu kutupa hizo mbususu zenu.

Alafu u ajua mie nakutamani wacha nikwambie tuu....sasa inakuwaje?
 
Kule kwenye fact wewe ndo umepotea, tumebaki mimi na Kim Dawizzy wengine sijui mmekimbilia wapi

Keep on praising mbususu as usual, you will get want you never had
 
Life its all about perception... Inategemea umekaa upande gani! Kuna upande ukikaa inaonekana 9.. Na Kuna Upande ni 6.. Zote sahihi! So kwa upande wake huyo mwanamama yuko sahihi, na Mungu alivyo wa ajabu ni kwamba kila mtu huwa anapewa wa "Kufanana nae".
 

Sijasoma comment yote lakini hapo mwanzo tu umeonyesha kunipinga
Naomba nikwambie maisha hayana formula na hakuna lililo sahihi na lisilo sahihi ni maamuzi tu ya mtu binafsi...so kwa definition yangu naomba nisimame nilipo na wewe upande wako we are both right
 
Sure
 
Kunywa soda moja kwa Mangi nakuja kulipa!! Point!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…