Hiyo sio ndoa, ndoa ambayo unaogopa hata kuchangia maendeleao ya familia yako maana yake humuamini mume wako, kama mmefikia hatua ya wewe kuogopa kuchangia jambo lolote kwenye familia kwa fikra kwamba utaachwa atafurahia mwingine mali basi ni heri kuvunja hiyo ndoa.
Kwenye ndoa mke ndio mwenye nyumba bana, ukionyesha njia nzuri na ukiwa mshauri mzuri na mchangiahi mzuri ni rahisi mume kuvutika na mkafanya makubwa tena kwa malengo,
na sikuhizi wanaume wamejanjaruka, kila mradi wa maendeleo mnaonzisha pamoja anaweka kwenye maandishi kwamba hata asipikuwepo mali ni za watoto na zitakuwa chini ya usimanizi wa mke mpaka watoto watakapojitambua, like wise mke asipokuwepo mali zotakua chini ya usimamizi wa mume mpaka watoto watakapojitambua
Kusaidia ndugu kama uwezo unaruhusu sio jambo baya pia, wote ni wanafamilia