Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nakunywa supu ya pweza, ntakupigia.....Uko wapi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakunywa supu ya pweza, ntakupigia.....Uko wapi...
Tatizo ni kwamba huyo mke/mume haujamkuta kwenye migomba,kwahiyo hilo unaloliomba haliwezekani😂😂😂Kungekua na sheria yw kudhibiti watu kwenye mahusiano ya watu labda ingekua afadhali kidogo😃😬
Maana sometimes unaweza kuta wahusika wanaelewana vizuri tu na kupendana lakini maneno ya watu ndio yanawatoa kwenye Reli
Kwakweli 😂😂Tatizo ni kwamba huyo mke/mume haujamkuta kwenye migomba,kwahiyo hilo unaloliomba haliwezekani😂😂😂
NAKAZIAKumpigia simu za kumjali na salamu za hapa na pale ni msingi mzuri wa mahusiano ila kwa sababu tu huna pesa ukifanya hayo utaonekana MSUMBUFU uliyekosa cha kufanya
Mnao jikutaga wajuaji, ndo huwa mafwala kweli.Vijana ,mapenzi yatawaua
Pole sanaMnao jikutaga wajuaji, ndo huwa mafwala kweli.
Amka ukafue nguo za demu wako, maana ma guru wa mapenzi mna teswa haswaPole sana
Mke nimuite "Demu" ?Amka ukafue nguo za demu wako, maana ma guru wa mapenzi mna teswa haswa
Ohh. Hongera kwa kuoa, ila Ina onyesha we ni kunguru ukiwa kwa nyumba.Mke nimuite "Demu" ?
Ngoja kwanza nimtwangie simu nijikumbushie kwa kumpatia mtongozo maana hufurahi sana nikiwa nafanya hiki kitendo mara chache
Vijana wa "kataa ndoa "hamkosi sababu kila ndoa ionekane vile mnataka. . .Ohh. Hongera kwa kuoa, ila Ina onyesha we ni kunguru ukiwa kwa nyumba.
Muda wote ni kwenda nje, coz nyumba Ina waka moto
Miye kataa ndoa tena??, halafu hata umri usi kute hata nyumba yangu Ina kuzidi kwa kuishi muda mrefu.Vijana wa "kataa ndoa "hamkosi sababu kila ndoa ionekane vile mnataka. . .
Mimi na bibi yako hatuna maneno japo changamoto zipo
Oa kijana.
Hujakosea kabisa kijana.Miye kataa ndoa tena??, halafu hata umri usi kute hata nyumba yangu Ina kuzidi kwa kuishi muda mrefu.
Haya kijana wangu, ume amkaje lakini?Hujakosea kabisa kijana.
Nimekuwa kijana wako mara hii?🤣Haya kijana wangu, ume amkaje lakini?
eeh we bado kijana, mi mvi tayari zilisha tamalaki kichwani.Nimekuwa kijana wako mara hii?🤣
Muda wa kuamka bado rafiki,kagiza kwa mbali kuikaribisha weekend.