mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Karibu sana! Za masiku?
hahahaha,
" una maswali mengi kwani wewe ni polis?! "
hii mistari ya mwimbo huo huwa inanifurahisha sana, kila nikiisikia huwa inanichekesha!
mistari ya nyimbo gani na wewe ukisikia huwa unajikuta unacheka mwenyewe?
ooh! my princess nilipitiwa na usingizi, ndio kwanza naipata message yako...msalimie sana mwandani wa moyo wangu, na mwanangu C6