Asante sana wakuu Rutashubanyuma na MziziMkavu kwa elimu hii ta tiba mbadala
Mkuu.@Rutashubanyuma hebu angalia hapa Olive Oil: can it treat gallstones? Ona majibu yake yako mangapi?
About 4,200,000 results (0.41 seconds) Utagunduwa kuwa Mafuta ya Zaituni yaani Olive Oil yan faida kubwakutibu Mawe kwenye Figo.Mkuu Rutashubanyuma ukubali au ukatae lakini hilo ndilo jibu langu chanzo bonyeza hapa https://www.google.com/search?q=Oliv...hrome&ie=UTF-8
Mkuu Rutashubanyuma kwa sasa sijui ulime mchicha wako na mboga zako na matunda yako mwenyewe ndo uyatumie kwa chakula chako
Maana kila uchao unasikia hiki kina madhara haya na haya
mbona babu zetu walitumia sana hivi vyakula tunavyokula na hatukuona mabadiliko au hatukuyaona madhara tunayoambiwa kwa sasa
Ni balaa mkuu ni kujitahidi tuu kula kwa kujipangilia maana hata hao wauzaji na wakulima hawaaminiki tena
Mboga za majani wanatumia chemical za hatari, maziwa wanawapa ng'ombe madawa ili watoe maziwa mengi, mafuta tunayotumia kupikia nayo ni hatari nyingine yanachakachuliwa mpaka mwisho sijui tuende wapi
Mr Rocky umesema kweli uchafuzi wa mazingira na hasa hawa wawekezaji bomu ambao kila kukicha tunaagizwa tuwapishe ndiyo kiama chetu tutakuwa wagonjwa mno na tunachoumwa hakina tiba labda huku kwenye matibabu mbadala kwa maana ya usafishwaji wa uchafu ndani ya mwili..........
Mkuu Rutashubanyuma hatari iliyopo mbele yetu ni kuwa hata pale unapoambiwa kula matunda kwa wingi au vyakula vya kijani kwa wingi navyo vyakula vyenyewe haviaminiki mkuu
Vinalimwa kwa madawa na vinakuzwa kwa madawa na vinahifadhiwa na madawa mpaka kikufikie wewe mlaji ushachanganyiwa chemicals kibao
Mbegu nazo siku hizi ni hizo za genetic ambazo nazo ni madhara mengine mbegu zile za asili zishapotezwa na hawa wawekezaji na tumekaa tunashangilia mkuu ni hatari kubwa sana
Ahsante mzizi......naomba kujua dalili za haya mawe...na vipimo husika......yaani ntajuaje kama nina mimawe
asante sana kwa elimu
dalili za vijiwe katika figo ni zipi?
dalili ni pamoja na
- kuhisi maumivu makali ya tumbo hasa sehemu za mbavu (colicky loin pain). Maumivu haya huwa na tabia ya kuja kwa ghafla, kudumu kwa sekunde kadhaa kisha kuachia. Maumivu huweza kushuka kuelekea kwenye ncha ya uume (tip of penis) kwa wanaume na kwa wanawake huelekea kwenye kinena.
- kujihisi kichefuchefu
- kutapika
- kukojoa mkojo uliochanganyika na damu (hematuria)
- wakati mwingine uwepo wa usaha katika mkojo (pyuria) hasa iwapo kuna maambukizi ya bakteria
- maumivu wakati wa kukojoa (dysuria)
- mkojo kutoka kwa kiwango kidogo sana (oliguria)
- mkojo hushindwa kupita katika mirija ya ureter na kusababisha figo kushindwa kutoa uchafu mwilini na kusababisha mlundikano wa uchafu kwenye damu hali inayojulikana kama postrenal azotemia
- kushindwa kupita kwa mkojo husababisha pia kutanuka kwa sehemu tofauti za figo (renal pelvisna calyces) hali inayojulikana kama hydronephrosis
- iwapo kutakuwa na maambukizi katika mkojo, mgonjwa anaweza kuwa na homa.@smarty
Mkuu Chenge asante sana kwa kuchangia mada yangu ninakushukuru hii tiba yangu inatibu mawe ya aina yoyote yaliyomo ndani ya figo ili mradi iwe ni jiwe tu litatoka inshallah ukitumia hii Dawa yangu.Mkuu tiba ya mawe nafkiri itategemea na namna jiwe lilivyokuwa formed nikimaanisha component ya jiwe lenyewe. Mfano; chanzo cha jiwe inaweza kuwa excess calcium, oxalate au uric acid. Hii tiba yako haijaeleza ni aina gani ya stone inatibu.
Hebu soma hapa.
Types of kidney stones include:
Calcium stones.
Most kidney stones are calcium stones, usually in the form of calcium oxalate. Oxalate is a naturally occurring substance found in food. Some fruits and vegetables, as well as nuts and chocolate, have high oxalate levels. Your liver also produces oxalate. Dietary factors, high doses of vitamin D, intestinal bypass surgery and several metabolic disorders can increase the concentration of calcium or oxalate in urine.
Calcium stones may also occur in the form of calcium phosphate.Struvite stones. Struvite stones form in response to an infection, such as a urinary tract infection. These stones can grow quickly and become quite large, sometimes with few symptoms or little warning.
Uric acid stones.
Uric acid stones can form in people who don't drink enough fluids or who lose too much fluid, those who eat a high-protein diet, and those who have gout. Certain genetic factors also may increase your risk of uric acid stones.
Cystine stones.
These stones form in people with a hereditary disorder that causes the kidneys to excrete too much of certain amino acids (cystinuria).
Other stones.
Other, rarer types of kidney stones can occur.