hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Una bahatiNilikuwa sinywi maji kabisa hata wiki mbili sisikii kiu ilibidi nipewe vidonge vya kusikia kiu sasa hivi nashukuru nakunywa maji pia sisumbuliwi tena na kidney stone maana Kuna siku vilikutwa vimawe vitatu pia kuna tiba mbadala huwa natumia nikihisi maumivu