Una(me)jifunza nini kwenye haya maisha?

Una(me)jifunza nini kwenye haya maisha?

Mpaka sasa nimejifunza kwamba kwenye haya maisha lazm uwe katili na Roho.mbaya
Imagine unajibana kile kidogo unachokipata unasaidia na ndugu zako lakn ikitokea kipind upo chini ukiwaambia sina wanaona kama unawanyima
Sasa sibora tu kuwa na ROHO MBAYA mazima ujenge yako baada ya hapo uinue mmoj mmoja🙃
 
Maisha yamenifundisha kwamba:
1. Dunia inahitaji watu wenye roho mbaya kwa nyakati kadhaa.
2. Kamwe usimuamini mtu yeyote.. Jiamini ww mwenyewe maana kamwe huwezi kujisaliti.
3. Dunia haikupi unachotaka bali kilichopo. Mfano umesomea kilimo unajikuta mwalimu au umesomea kufundisha Secondary unajikuta unafundisha chekechea
4. Jipende ww mwenyewe hakuna atakaekupenda. Ukipata pesa kula vizuri, kunywa, fanyia starehe, wekeza, tunza n.k. Na sio kusaidia ndugu na jamaa.
5. Afya ndo mtaji wa kila kitu. Kamwe usikubali kuiweka rehani afya yako.
6. Mungu akiamua kukupa nani wa kukunyang'anya? Hayupo. Sali sana na muombe Mungu kila upatapo nafasi ya kufanya hivo.
nice man, God bless you
 
Mpaka sasa nimejifunza kwamba kwenye haya maisha lazm uwe katili na Roho.mbaya
Imagine unajibana kile kidogo unachokipata unasaidia na ndugu zako lakn ikitokea kipind upo chini ukiwaambia sina wanaona kama unawanyima
Sasa sibora tu kuwa na ROHO MBAYA mazima ujenge yako baada ya hapo uinue mmoj mmoja🙃
Point, ila ukiweza kusaidia usiangalie results saidia unapoweza. Uzivunjike moyo juu yao
 
'
JamiiForums470129845.jpg
 
Back
Top Bottom