Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 596
- 977
nice man, God bless youMaisha yamenifundisha kwamba:
1. Dunia inahitaji watu wenye roho mbaya kwa nyakati kadhaa.
2. Kamwe usimuamini mtu yeyote.. Jiamini ww mwenyewe maana kamwe huwezi kujisaliti.
3. Dunia haikupi unachotaka bali kilichopo. Mfano umesomea kilimo unajikuta mwalimu au umesomea kufundisha Secondary unajikuta unafundisha chekechea
4. Jipende ww mwenyewe hakuna atakaekupenda. Ukipata pesa kula vizuri, kunywa, fanyia starehe, wekeza, tunza n.k. Na sio kusaidia ndugu na jamaa.
5. Afya ndo mtaji wa kila kitu. Kamwe usikubali kuiweka rehani afya yako.
6. Mungu akiamua kukupa nani wa kukunyang'anya? Hayupo. Sali sana na muombe Mungu kila upatapo nafasi ya kufanya hivo.
Yani unawaoana 🚮🚮🚮🚮😁😁nimejifunza ukipiga nyeto sana, mademu unaona ni takataka
Point, ila ukiweza kusaidia usiangalie results saidia unapoweza. Uzivunjike moyo juu yaoMpaka sasa nimejifunza kwamba kwenye haya maisha lazm uwe katili na Roho.mbaya
Imagine unajibana kile kidogo unachokipata unasaidia na ndugu zako lakn ikitokea kipind upo chini ukiwaambia sina wanaona kama unawanyima
Sasa sibora tu kuwa na ROHO MBAYA mazima ujenge yako baada ya hapo uinue mmoj mmoja🙃
Sawa sawa chiefPoint, ila ukiweza kusaidia usiangalie results saidia unapoweza. Uzivunjike moyo juu yao
Nimezifunga kutojirundikia narafiki wengi, maana ukiwa nao wengi ndivyo nawe unakuwa katika mstari unaokutenganisha wewe na njia za kujituma.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
😁😁😁jamaa hataki kuwapa credit kabisa ladies
Marafiki wengi ni mtego.sio kwamba inategemea na aina ya marafiki?