Una miaka 22, huna kazi ya uhakika lakini una mademu wanne

Una miaka 22, huna kazi ya uhakika lakini una mademu wanne

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,
Hapa tunasemaje, maana ninavojua lazima uwe na kaupato kidogo cha kuwatonya madem
watu kutoka Cuba na D mbili hii game mnaichezaje


 
Halafu hii kuwapangia vijana maisha muache, mnawakataza kufanya vitu ambavyo nyie mmefanya ujana wenu wote na hamjafa 😂
 
Wewe hii kuwashauri hao vijana inakuingizia nn kwenye account?

Halafu wait, miaka 22 ya nchi gani? Kibongo bongo huyo bado ni dogo janja hana anachowaza, mbele miaka 22 ni mkubwa sana hadi kwa Lamine Yamal
Nakubali kibongo bongo kijana anakuwa mkubwa akifika 30
Wabongo bhana, bc hata kunya utataka ikuingizie kitu Kwenye account
Kuna watu wana akili za ovyo yaani dah 😀
 
Hata ivyo hao mademu wanaweza kuwa fursa

Mfano mishangazi miwili + mtoto wa geti Kali + mama ntilie
Ni Bora kuliko kazi ya uhakika 😎😂
Mashangazi na mademu hawakai kwenye caregory moja, mmoja analeta hela mwingine ni jini la kunyonya
 
Mashangazi na mademu hawakai kwenye caregory moja, mmoja analeta hela mwingine ni jini la kunyonya
Kama ujakaa kiuwekezaji labda ndiyo utapendelea demu wako awe anopheles ila ukiwa unawaza kujenga maisha lazma demu wako awe mtaji kiongozi😂😂😂
 
Back
Top Bottom