Vijana wa hovyo, mademu wanakuingizia nn kwenye accountKuwa na hao madem pia ni kazi, Ww unadhani kukaa na ombaomba wanne ni kazi ndogo π
Wewe hii kuwashauri hao vijana inakuingizia nn kwenye account?Vijana wa hovyo, mademu wanakuingizia nn kwenye account
Wabongo bhana, bc hata kunya utataka ikuingizie kitu Kwenye accountVijana wa hovyo, mademu wanakuingizia nn kwenye account
Nakubali kibongo bongo kijana anakuwa mkubwa akifika 30 yearsWewe hii kuwashauri hao vijana inakuingizia nn kwenye account?
Halafu wait, miaka 22 ya nchi gani? Kibongo bongo huyo bado ni dogo janja hana anachowaza, mbele miaka 22 ni mkubwa sana hadi kwa Lamine Yamal
Nakubali kibongo bongo kijana anakuwa mkubwa akifika 30Wewe hii kuwashauri hao vijana inakuingizia nn kwenye account?
Halafu wait, miaka 22 ya nchi gani? Kibongo bongo huyo bado ni dogo janja hana anachowaza, mbele miaka 22 ni mkubwa sana hadi kwa Lamine Yamal
Kuna watu wana akili za ovyo yaani dah πWabongo bhana, bc hata kunya utataka ikuingizie kitu Kwenye account
Hata ivyo hao mademu wanaweza kuwa fursaKuwa na hao madem pia ni kazi, Ww unadhani kukaa na ombaomba wanne ni kazi ndogo π
Mashangazi na mademu hawakai kwenye caregory moja, mmoja analeta hela mwingine ni jini la kunyonyaHata ivyo hao mademu wanaweza kuwa fursa
Mfano mishangazi miwili + mtoto wa geti Kali + mama ntilie
Ni Bora kuliko kazi ya uhakika ππ
Kama ujakaa kiuwekezaji labda ndiyo utapendelea demu wako awe anopheles ila ukiwa unawaza kujenga maisha lazma demu wako awe mtaji kiongoziπππMashangazi na mademu hawakai kwenye caregory moja, mmoja analeta hela mwingine ni jini la kunyonya