mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Naona wewe unataka kuwalaza njaa watoto wa watu.Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Hivi, Kwani kwenda night club mwisho umri gani??Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Ukiona unaamkiwa shikamoo na mabinti jua unaenda club kufedheheka, au ukiona unaanza kuitwa mjomba badala ya bro, jua umeaga mashindanoHivi, Kwani kwenda night club mwisho umri gani??
Bila Shaka umepokonywa demu clubUna miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Mwasibu umepanic, kula chuma hicho.ππHujioni fala kupangia watu maisha? Stop being primitive