Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu

Wasipoenda, madanga ya kuwafunua marinda mtatoa wapi?
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Acheni kuramba ramba lips,watoto wa watu mnawalisha chips kavu na maji makubwa, kwan mnafanya kazi Wizara ya Maji

Wazee tupo hapa,kazi ndogo mtoto anakula anachotaka na pia kesho asubuhi anapewa mzigo wa maana,ambao wewe na kuramba ramba kwako lipis,itakuchukua miezi 4 hadi mitano kuipata hiyo pesa! Acheni ujinga
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Kwanini ukakeshe kwenye nyumba ya ibada usiku muda wa kujumuika na familia?
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Mimi nina miaka 60 na Club nakwenda na totoz born 2000 naruka nazo kama kawa
 
Miaka 30+ ndio mwanaume anaanza kujipata Pata na pesa ya kutanua na kula starehe inaanza kupatikana. Ndio muda sahihi wa kuwatumia hawa watoto na wenyewe wanapenda watu wa kuanzia umri huo uhakika wa vinywaji, chakula na pesa nzuri asubuhi ni uhakika.
 
Back
Top Bottom