Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Ni dunia nzima tena afrika tuna unafuu huko dunia ya kwanza wanakwambia kabisa life begins at 40
Hivi unaelewa hata maana ya hiyo Life begins at 40 au ndio mmeitafutia maana yenu ili mjifariji, hiyo inamaanisha huo ni umri wa kula matunda ya mapambano uliyoyafanya ukiwa kijana na siyo eti ukifika huo umri ndio uanze kujitafuta, huko kwa wenzetu mtoto wa miaka 16 analilia kuondoka kwa wazazi wake kuanza maisha yake ila huku kwetu jitu la miaka 30 linawaza uchawa na kutaka pesa za bure bure tu
 
Wenye akili kama wewe mtaleta hayo maendeleo wengine acha waishi maisha Yao au mmechoka😂😂😂kuona mnapiga kazi kindaki ndaki na wengine kwenye life wanateleza
 
human is a work, hebu na wewe buni kibwagizo chako, umeiga cha member mmoja humu ndani
😁 😁 😁 Halafu kibaya zaidi anakikosea,, jamaa huwa anasema "humanity is a work,, yeye anasema" human is a work "🙌🏽 🙌🏽 🙌🏽 🙌🏽
 
[emoji23][emoji23][emoji23] lakini kama kuna kaukweli hivi umri huu wa 30+ umefika saivi nikiwa club naona aibu kubanjuka
 
Wenye akili kama wewe mtaleta hayo maendeleo wengine acha waishi maisha Yao au mmechoka😂😂😂kuona mnapiga kazi kindaki ndaki na wengine kwenye life wanateleza
Mjomba hapa tunaongelea watu wazima ambao hawako serious na maisha watu wanaojielewa wamechoka kuombwaombwa hela, tena na mijitu mizima yenye akili timamu na viungo vyote vya mwili kwa kisingizio cha maisha ni kusaidiana eti leo kwangu kesho kwako, mwisho wa siku mtu anajikuta kila siku yeye ndio anatoa huku akiisubiri hiyo 'kesho' ambayo naye atapewa..anyway we endelea kuteleza mkuu angalia tu na wewe siku usije kutelezewa!!
 
Jamii zote, mataifa yote, rika zote, watu wa jamii hiyo huwa wapo tu, hata nchi zilizoendelea sana hawawezi kukosekana. Acha watu waishi maisha yao kama hayakubughudhi. Kama pesa huombwi wewe, acha maisha yaendelee. Ujinga ni kumpangia mtu mzima maisha yake! Let them live. 100 years to come nobody will remember you ever existed.
 
Mjomba hapa tunaongelea watu wazima ambao hawako serious na maisha watu wanaojielewa wamechoka kuombwaombwa hela, tena na mijitu mizima yenye akili timamu na viungo vyote vya mwili kwa kisingizio cha maisha ni kusaidiana eti leo kwangu kesho kwako, mwisho wa siku mtu anajikuta kila siku yeye ndio anatoa huku akiisubiri hiyo 'kesho' ambayo naye atapewa..anyway we endelea kuteleza mkuu angalia tu na wewe si
Duh mara umeshawaza masuala ya kutelezewa kwa Nini akili Yako imekutuma huko haraka au Kuna namna umewahi philwa udogoni!?anyway pole blood ni life
ku usije kutelezewa!!
 
Back
Top Bottom