binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
We usitake kunichekesha! ๐ au wafupi walikuwa wanaonekana underage? ๐ (wafupi wenzangu mnisamehe)Jamaa alifika sehemu watu wafupi akawa hataki waingie kwny club yake ๐๐,ukiwa mfupi tu baunsa anazuia chap kuingia.
Nilikuwa natamani nikutane na hiyo scenario ya kukataliwa kuingia au walau nione wanaokataliwa kuingia inakuwaje? Wanapewa sababu au?