Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Duh mara umeshawaza masuala ya kutelezewa kwa Nini akili Yako imekutuma huko haraka au Kuna namna umewahi philwa udogoni!?anyway pole blood ni life
Kwenye haya maisha ukifanya Yako utakuwa huru sana kijana punguza kujipa umuhimu punguza sana
 
Hivi unaelewa hata maana ya hiyo Life begins at 40 au ndio mmeitafutia maana yenu ili mjifariji, hiyo inamaanisha huo ni umri wa kula matunda ya mapambano uliyoyafanya ukiwa kijana na siyo eti ukifika huo umri ndio uanze kujitafuta, huko kwa wenzetu mtoto wa miaka 16 analilia kuondoka kwa wazazi wake kuanza maisha yake ila huku kwetu jitu la miaka 30 linawaza uchawa na kutaka pesa za bure bure tu
Kwa wenzetu? Kwenu Ni wapi?
 
Very true na angalau ndio ka financial freedom kanatokea
22-28 hapo mabraza wanakukosoa kinoma, mtaani wanakuona ulienda kusomea ujinga, ndugu wanaona elimu haijakukomboa kifikra, unahangaikia ajira hupati bado hata pa kujishkiza huoni...kitaaa huna network, kweny mapenzi ndo balaa binti havikuelewi wanakuona unanuka jasho🤣sema kwenye Miaka miwili mitatu ukihangaika ndo mambo yanaanza kwenda vzr ko mpaka ufike 28++ mambo yanaanza kua mazuri
 
Pestana dodoma ili fail na kufa kifo cha mende sababu ya wanachuo kujazana, Under 30 wanapata wapi pesa za kuspend?

Au unadhani night club wanatoa msaada wa kuwapigia music mcheze na kubambiana bure!
 
Tatizo elimu na mfumo unawafanya wanaanza kushika pesa au kujipata wakiwa kwenye miaka 30+

Muda huohuo aanzishe familia afanye starehe za hapa na pale kama kwenda night clubs n.k

Ulimbukeni na ushamba pia unachangia wengi waliofanya hizo starehe wakiwa 20s huwa hawana ushamba huo utawakuta sana sana kwenye liquor stores wakishagonga 30+
Wengi waliofanya starehe at 20s ni watoto wa kishua au wale waliopata connection za kazi nzuri mapema ila tofauti na hapo acha waliojipata wenyewe wale bata at 30s
 
Unakuta zee Zima , nyama zimeanza kuachana na mifupa, nywele zimeota mvi ila amepaka rangi kuzificha , limevaa eti kaptula lipo huko club linaruka ruka
Bahati nzuri Lina hela na huyo Manzi unaelinga nae humo club ataenda kulinyonya d**k yake kwny gari na baadae huyo huyo demu atakuletea mdomo huo uupige denda huku unashushia Hanson choice/k-vany humo club.
 
Utamtimuaje tajiri?

Unatimua tuvijana tunatoonekana hatuna ramani.
Tanzania watu wanazeeka mapema sana kwa sababu ya umaskini tu. Leo Biden ana miaka 80 anawaza kuwa Rais wa Marekani miaka 4 mingine. Huku mtu anaona miaka 35 ni uzee.

Inakera sana kwani hali hii ndiyo hupandikiza choyo na jamii nzima inakwama. Mtu mwenye mawazo kama haya akimkuta mtu wa miaka 59 kazini si ataona ni "kibabu" kinachostahili kutimuliwa fasta!!!

vibinti under 25 vinawapenda sana wazee na tena wakati mwingine hutaka mapenzi yao yawe hadharani. Sasa mtu mzima atamkataliaje mpenzi wake kwenda naye CLUB??
 
Back
Top Bottom