Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Ndio ma-sponsor wetu hao.....muwavumilie tu.
Hayo ndio ma vector wa ukimwi. Yanazoa sehemu mbalimbali yanawasambazia kwa kuwa yananhela na ninyi mnadhiki mnauza K hamkatai. Yameos wake wazuri kwa harusi za kifahari ,yameacha watoto wazuri nyumbani vinasoma english medium. Vinamwita dad kumbe ni li firauni. Likianza kuugua linasimgizia magonjwa ya kisukari na pressure kumbe ni NGOMA
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda snlana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wa kufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Huyu wa 30+ si bado analelewa home huyu?😁😁😁
 
Hayo ndio ma vector wa ukimwi. Yanazoa sehemu mbalimbali yanawasambazia kwa kuwa yananhela na ninyi mnadhiki mnauza K hamkatai. Yameos wake wazuri kwa harusi za kifahari ,yameacha watoto wazuri nyumbani vinasoma english medium. Vinamwita dad kumbe ni li firauni. Likianza kuugua linasimgizia magonjwa ya kisukari na pressure kumbe ni NGOMA
Nani anauza K?
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda snlana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wa kufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.

Asojua maana ……
 
Hakuna kiswahili Cha kawaida master punguza hisia za kuphilwa kwanza kwa namna unafatilia maisha ya wengine inaonesha unashida madame
Yani watu wanajianika humo mitandaoni kutwa tunakutana na mapost yao ya kipuuzi na wengine ni wale waliotuzunguka kutwa tunaziona tabia zao, halafu useme eti tunafuatilia maisha yao kwani wao ni kina nani hadi tuwafuatilie, narudia wewe ndio una hizo hisia mimi nilikujibu kulingana na kauli yako hayo mengine ni mawazo yako tu stop projecting your behaviours on me
 
Mind your own business and those who concern you hao walio club Wana maisha Yao acha kupigia watu kelele jifunze hili litakusaidia shughulika na maisha Yako na wale wanaokuhusu
 
Anza kuwaambia wale wanaotukana wanawake
 
Miaka 30 ni michache sana watu mpk hamsini bado wanaruka na vitoto. Huwezi kuta mwanamke wa miaka 35 and above club, ila kwa wanaume age doesn't matter. Tena mabinti hupenda aged dudes.
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Kwani Maisha ya mtu ya a validity? 😂😂😂
 
Kwahiyo mnataka twende Sikinde na Msondo ngoma?
Nilienda club 84 Dodoma, mlinzi akaniamkia pale mlangoni....nilimkata jicho hilo, atahadithia.

Anyway, acha tule raha.
Tunatafutwa sana mashangazi sisi na vijana akina Intelligent businessman ujue.
Hahaha, shangazi mbadi, ko uli mwangalia mlinzi Hadi aka tamani kukimbia😁🤣
 
Back
Top Bottom