Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Wasipoenda, madanga ya kuwafunua marinda mtatoa wapi?