Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mfano..mpo sehem ambayo ni mkusanyiko wa watu wengi muda wote, yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Sasa katika mishe mishe(matembezi) mara paap kuna ela ipo chini haijulikani ni nani aliyedondosha. Tsh 1000 au 500 hivi, wewe umeiona na wengine kadhaa wameiona, ila kiuhalisia hakuna mmiliki kati yenu. Je, utakomaa kuishupalia au utaiacha. Wakati huo wewe una kama milion kadhaa hiv mfukon za faida kupitia biashara/mambo yako. Je, utaokota ile au utaacha.