Una milion 10 cash. Je, unaweza kugombea kuokota tsh 1000?

Una milion 10 cash. Je, unaweza kugombea kuokota tsh 1000?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Mfano..mpo sehem ambayo ni mkusanyiko wa watu wengi muda wote, yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Sasa katika mishe mishe(matembezi) mara paap kuna ela ipo chini haijulikani ni nani aliyedondosha. Tsh 1000 au 500 hivi, wewe umeiona na wengine kadhaa wameiona, ila kiuhalisia hakuna mmiliki kati yenu. Je, utakomaa kuishupalia au utaiacha. Wakati huo wewe una kama milion kadhaa hiv mfukon za faida kupitia biashara/mambo yako. Je, utaokota ile au utaacha.
 
Matajiri wakubwa duniani pamoja na mabilion walizonazo bado wana hustle kupata zaidi, wewe million 10 tu za kitanzania zinakuzuia kuokota 1000?

Kama ni kufika na kuokota kwann nisichukue?

Ila kama ni ya kugombania kwann nipoteze muda, nguvu na akili kupigania buku ya kuokota?
 
Hiyo tunaita every shilling counts man, naokota hata iwe bati au jiti(200,100 consecutively 😀) hizo milions zimefika sababu ya hizo buku buku humo ndani.

Ila ukiwa na pesa nyingi kuna ile unajisemea acha nisigombanie/nisiokote hii aje aokote mwingine huko huenda ana shida kweli. Ila kuacha 1000 hivi hivi siku ntajaribu.😀
 
Hata kama na buku tano tu siwezi kulumbana na watu kwa noti ya buku moja isiyonihusu.
 
Back
Top Bottom