Kicheche mkali
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 290
- 266
UNA MILIONI 17, UNATAKA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA 3 — UTATOBOA?
Jibu ni NDIO, lakini lazima ujenge kwa mpango! 🔨
Milioni 17 siyo bajeti ya kujenga nyumba kubwa ya vyumba 3 yenye finishing za kifahari, lakini inaweza kuwa mwanzo mzuri sana kama utakuwa na ramani sahihi, design rahisi na usimamizi mzuri wa fedha.
Soma pia https://www.jamiiforums.com/threads/20m-itanifikisha-wapi-katika-ujenzi-wakuu.2457611/
Kitu cha muhimu ni kwamba “vyumba 3” pekee havitoshi kujua gharama ya nyumba. Gharama inategemea ukubwa wa nyumba, aina ya msingi, paa, materials, finishing na eneo la ujenzi.
🧠 USHAURI WA KITAALAMU kutoka Kwangu
Usianze kwa kusema:
❌ “Nina milioni 17, nitajenga nyumba ya vyumba 3.”
Anza kwa kusema:
✅ “Nina milioni 17, kwa aina ya nyumba ninayoihitaji, naweza kufika hatua gani?”
Hapo ndipo unapopata picha halisi ya bajeti yako.
Kama una Tsh. 17,000,000, unaweza kupanga ujenzi kwa awamu na kuanza na vitu vya msingi bila kulazimisha finishing za gharama kubwa mapema.
⚠️ Usipunguze gharama kwenye vitu vinavyohusu uimara wa nyumba kama msingi, nondo, concrete na ubora wa materials.
Badala yake, punguza gharama kupitia design rahisi, ukubwa unaoendana na bajeti na finishing zinazoweza kuboreshwa baadaye.
🔥 JAMBO LA MUHIMU tunaloamini Kelvin Hk
Usijenge kwa kusikia mtu amesema “nyumba ya vyumba 3 inajengwa kwa milioni fulani.”
Jenga kwa RAMANI + BOQ + BAJETI. (Hivi vyote unapata kwenye group letu la ujenzi BURE...link kwenye BIO)
📞 KWA MAKADIRIO HALISI kulingana na aina ya ujenzi unaohitaji, NITAFUTE CHAP!
CALL & WHATSAPP: 0789 005 562
🏗️ KELVIN HK BUILDERS
TUNAJENGA KWA UBORA
📲 Pia tuna GROUP LA UJENZI linalojadili YOTE KUHUSU UJENZI — kuanzia ramani, makadirio, materials, msingi, kuta, paa hadi finishing.
👉 LINK YA GROUP IPO KWENYE BIO.
Usianze kutumia Milioni 17 bila kujua mwisho wake utakuwaje.
ANZA NA MPANGO. 🏠🔨
Imeandaliwa na kuandikwa na Kelvin Hk 0789005562